Kiambae-Magharibi

Kiambae-Magharibi ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Waambae kwenye kisiwa cha Ambae. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiambae-Magharibi imehesabiwa kuwa watu 8700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiambae-Magharibi iko katika kundi la Kioseaniki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy