Kiaoheng

Kiaoheng (pia Kipenihing) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waaoheng kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kiaoheng imehesabiwa kuwa watu 2630. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiaoheng iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy