Kiarammba

Kiarammba (pia Kiserki au Kiserkisetavi) ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waarammba. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kiarammba imehesabiwa kuwa watu 970. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiarammba iko katika kundi la Kipapua ya Kusini-Katikati.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy