Kiassangori

Kiassangori (pia Kisungor) ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad inayozungumzwa na Wasungor. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kiassangori imehesabiwa kuwa watu 23,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiassangori iko katika kundi la Kisudani-Mashariki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy