Kiatsam

Kiatsam ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waatsam. Mwaka wa 1972 idadi ya wasemaji wa Kiatsam imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiatsam iko katika kundi la Kikainji.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy