Kiauwe

Kiauwe (au Kisimog) ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waauwe. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kiauwe imehesabiwa kuwa watu 410. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiauwe iko katika kundi la Kiwaris.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy