Kibadyara

Kibadyara ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Guinea, Guinea-Bisau na Senegal inayozungumzwa na Wabadyara. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kibadyara nchini Guinea imehesabiwa kuwa watu 6300. Pia kuna wasemaji 4580 nchini Guinea-Bisau na wasemaji 1850 nchini Senegal. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibadyara iko katika kundi la Kiatlantiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy