Kibana

Kibana ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kamerun inayozungumzwa na Wabana. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kibana imehesabiwa kuwa watu 23,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibana iko katika kundi la Kichadiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy