Kibata

Kwa matumizi mengine ya jina hili tazama Kibata (Kilwa)

Kibata ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wabata. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kibata nchini Nigeria imehesabiwa kuwa watu 150,000. Pia kuna wasemaji 2500 nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibata iko katika kundi la Kichadiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy