Kibatak

Kibatak ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wabatak. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibatak imehesabiwa kuwa watu 200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibatak iko katika kundi la Kifilipino.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy