Kibeembe

Kibeembe ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kongo inayozungumzwa na Wabeembe. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kibeembe imehesabiwa kuwa watu 3200. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibeembe iko katika kundi la H10.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy