Kibhujel

Kibhujel (au Kibujhyal) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Wabhujel. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kibhujel imehesabiwa kuwa watu 27,100. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibhujel iko katika kundi la Kihimalaya.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy