Kicakfem-Mushere

Kicakfem-Mushere ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wacakfem-Mushere. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kicakfem-Mushere imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kicakfem-Mushere iko katika kundi la Kichadiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy