Kicapiznon

Kicapiznon ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wacapiznon. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kicapiznon imehesabiwa kuwa watu 639,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kicapiznon iko katika kundi la Kifilipino.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy