Kicara

Kicara ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wacara. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kicara imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kicara iko katika kundi la Plateau.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy