Kicen

Kicen ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wacen. Wataalamu wengine huiangalia kuwa lahaja ya Kiizere. Idadi ya wasemaji wa Kicen imehesabiwa kuwa watu 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kicen iko katika kundi la Plateau.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy