Kichadong

Kichadong ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina inayozungumzwa na Wahani. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kichadong imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kichadong iko katika kundi la Kikam-Sui.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy