Kichakali

Kichakali ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wachakali. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kichakali imehesabiwa kuwa watu 6000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kichakali iko katika kundi la Kigur.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy