Kichala

Kichala ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wachala. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kichala imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kichala iko katika kundi la Kigur.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy