Kichenchu

Kichenchu ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wachenchu. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kichenchu imehesabiwa kuwa watu 26,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kichenchu iko katika kundi la Kitelugu.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy