Kicheq-Wong

Kicheq-Wong ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Malaysia inayozungumzwa na Wacheq-Wong. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kicheq-Wong imehesabiwa kuwa watu 460 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kicheq-Wong iko katika kundi la Kimon-Khmer.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy