Kichhulung

Kichhulung ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Wachhulung. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kichhulung imehesabiwa kuwa watu 2050. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kichhulung iko katika kundi la Kihimalaya.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy