Kichoni

Kichoni ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wachoni. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kichoni imehesabiwa kuwa watu 154,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kichoni iko katika kundi la Kibodish.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy