Kichonyi

Kichonyi (pamoja na Kidzihana na Kikauma) ni lugha ya Kibantu nchini Kenya inayozungumzwa na makabila matatu, yaani Wachonyi, Wajibana na Wakauma. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kichonyi imehesabiwa kuwa watu 184,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kichonyi iko katika kundi la E70.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy