Kichopi

Kichopi ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji inayozungumzwa na Wachopi. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kichopi imehesabiwa kuwa watu 760,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kichopi iko katika kundi la S60.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy