Kichrau

Kichrau ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Vietnam inayozungumzwa na Wachrau. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kichrau imehesabiwa kuwa watu 7000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kichrau iko katika kundi la Kibahnariki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy