Kichuave

Kichuave ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wachuave. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kichuave imehesabiwa kuwa watu 23,100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kichuave iko katika kundi la Kichimbu.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy