Kichurahi

Kichurahi ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wachurahi. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kichurahi imehesabiwa kuwa watu 111,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kichurahi iko katika kundi la Kiaryan.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy