Kicinda-Regi-Tiyal

Kicinda-Regi-Tiyal (pia huitwa Kikamuku) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wacinda, Waregi na Watiyal. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kicinda-Regi-Tiyal imehesabiwa kuwa watu 95,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kicinda-Regi-Tiyal iko katika kundi la Kikainji.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy