Kicua

Kicua ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Vietnam inayozungumzwa na Wacua. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kicua imehesabiwa kuwa watu 12,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kicua iko katika kundi la Kibahnariki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy