Kicung

Kicung ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wacung. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kicung imehesabiwa kuwa watu 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kicung iko katika kundi la Kibeboidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy