Kidadibi

Kidadibi ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wadadibi. Mwaka wa 1988 idadi ya wasemaji wa Kidadibi imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidadibi iko katika kundi la Kiteberan.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy