Kiekit

Kiekit ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waekit. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kiekit imehesabiwa kuwa watu 200,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiekit iko katika kundi la Cross River.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy