Kifolopa

Kifolopa ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wafolopa. Mwaka wa 1985 idadi ya wasemaji wa Kifolopa imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifolopa iko katika kundi la Kiteberan.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy