Kifulani-Borgu

Kifulani-Borgu ni lahaja ya Kifulani, kilicho lugha ya Kiniger-Kongo nchini Benin inayozungumzwa na Wafulani. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kifulani-Borgu nchini Benin imehesabiwa kuwa watu 280,000. Pia kuna wasemaji nchini Togo na Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifulfulde-Borgu iko katika kundi la Kiatlantiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy