Kigoaria

Kigoaria ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Wagoaria. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kigoaria imehesabiwa kuwa watu 25,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kigoaria iko katika kundi la Kiaryan. Wengine huiangalia kama lahaja ya Kisadri nchini Uhindi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy