Kigrangali

Kigrangali ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Afghanistan inayozungumzwa na Wagrangali. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kigrangali imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kigrangali iko katika kundi la Kiaryan.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy