Kigvoko

Kigvoko ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria na Kamerun inayozungumzwa na Wagvoko. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kigvoko nchini Nigeria imehesabiwa kuwa watu 20,000. Pia kuna wasemaji 1000 nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigvoko iko katika kundi la Kichadiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy