Kihabun

Kihabun ni lugha ya Kiaustronesia nchini Timor ya Mashariki inayozungumzwa na Wahabun. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kihabun imehesabiwa kuwa watu 2700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihabun iko katika kundi la Kitimor-Babar.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy