Kihdi

Kihdi ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kamerun inayozungumzwa na Wahdi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kihdi imehesabiwa kuwa watu 25,000. Pia kuna wasemaji 4000 nchini Nigeria ambako lugha huitwa Kihide. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihdi iko katika kundi la Kichadiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy