Kihelambu

Kisherpa ya Helambu (au Kihelambu kwa kifupi) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Washerpa. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kisherpa ya Helambu imehesabiwa kuwa watu 10,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisherpa ya Helambu iko katika kundi la Kibodish.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy