Kiheyo

Kiheyo ni lugha ya Kitorricelli nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waheyo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiheyo imehesabiwa kuwa watu 2710. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiheyo iko katika kundi la Kimaimai.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy