Kihoro

Kihoro kilikuwa lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad iliyozungumzwa na Wahoro. Hakuna wasemaji waliobaki wa Kihoro kwa vile wamebadilisha lugha kuongea Kingam badala ya lugha yao ya Kihoro. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihoro iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy