Kihozo

Kihozo ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wahozo. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kihozo imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihozo iko katika kundi la Kiomotiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy