Kihuba

Kihuba ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wahuba. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kihuba imehesabiwa kuwa watu 175,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihuba iko katika kundi la Kichadiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy