Kihwana

Kihwana ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wahwana. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kihwana imehesabiwa kuwa watu 32,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihwana iko katika kundi la Kichadiki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy