Kihyam

Kihyam (au Kijabba) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wahyam. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kihyam imehesabiwa kuwa watu 100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihyam iko katika kundi la Plateau.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy