Kiidu-Mishmi

Kiidu-Mishmi ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Waidu-Mishmi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiidu-Mishmi imehesabiwa kuwa watu 11,000. Pia kuna wasemaji themanini nchini Uchina ambapo lugha huitwa Kiluoba ya Yidu, na wasemaji huitwa Waluoba. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiidu-Mishmi iko katika kundi la Kidigaro.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy