Kiisoko

Kiisoko ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waisoko. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiisoko imehesabiwa kuwa watu 423,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiisoko iko katika kundi la Kiedoidi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy