Kiizora

Kiizora ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waizora. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kiizora imehesabiwa kuwa watu 1500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiizora iko katika kundi la Kikainji.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy